Selasa, 30 April 2013

CAMPAIGN AGAINST FISTULA IN TANZANIA

NINI HUSABABISHA SHIMO LA UZAZI KUTOKEA?

Vyote VVF na RVF husababishwa pale mwanamke anapochukuwa muda mrefu kujifungua kutokana na uke kuto funguka haraka na mtoto kupita. Hivyo mama hulazimika kumsukuma mtoto aliyegoma kutoka na hivyo kunasa katikati ya uke kichwa kidogo nje lakini zaidi mwili wote wa mtoto unakuwa umebaki ndani ya tumbo bado. Hii process inapotokea hivi mara nyingi mtoto hukosa circulation ya damu kichwani na hivyo kufa kabla hajazaliwa.
Hata hivyo, situation inapokuwa hivi mara nyingi mama na mtoto wanaweza kuokolewa kwa njia ya upasuaji (c-section). Ile constant pressure inayokuwa applied kwenye pelvic bone ndo inayosababisha kuachwa kwa shimo baada ya mtoto kutolewa tumboni. Hivyo zile tissue zilizo zunguka uke zinakosa blood supply na hivyo kufanguvu nakusabisha mishipa inayoshikilia mfuko wa mkojo na kinyesi kulegea na kushindwa kubana uchafu ndani (mkojo ama kinyesi) na hivyo kufanya vitoke tuu vyenyewe vyenyewe bila mpangilio.




HILI TATIZO HUTOKANA NA;

  • Mama mjamzito kuwa mdogo sana kutokana na lishe duni (kudumaa)
  • kuto kupata elimu juu ya uzazi na huduma bora za afya na juu ya kujifungua
  • kuto kuwa na madocta wakutosha na wenye uwezo wa kumshughulikia mzazi aliyekubwa na tatizo hili haraka iwezekanavyo
  • kutokuwa na vifaa vya maana mahospitalini
  • huduma na vituo vya afya kuwa mbali sana
  • wenye kutoa huduma za afya haswa kwa akina mama kutokuwa na experience ya kutosha katika fani ya afya
  • kujifungulia nyumbani bila kuwa na muhudumu anayeelewa kazi za kiafya kama za wanawake na jinsi ya kumzalisha mtu
  • kuzaa katika umri mdogo sana




    NINI MATOKEO YA SHIMO LA UZAZI?

    • Of course mtoto ndo hivyo hufariki
    • mama hubakia kuvuja uchafu kupitia uke
    • mama huweza kushindwa kutembea kabisa kutokana na damage iliyofanyika ukeni
    • mara nyingi mambo yakishatokea hivi basi wanawake wengi huachika na jamii huwatenga


      CAMPAIGN AGAINST FISTULA IN TANZANIA

       
      Obstetric Fistula ama shimo la uzazi ni tatizo la kiafya ambalo ni kubwa sana haswa katika nchi zinazoendelea; Tanzania ikiwa moja wapo, sehemu za vijijini zaidi - ikiwa na wanawake wengi haswa wadogo wenye hili tatizo la shimo la uzazi.
      Shimo hili la uzazi hutokea pale muda wa mama wa kujifungua unapokuwa umekaribia, hivyo mwanamke anakuwa ana sikia labor pains halafu mtoto anataka kutoka lakini anakuwa amebanwa kichwa. Tatizo hili linapotokea husababisha mishipa ya sehemu za uzazi kulegea na kushindwa kufanya kazi muhimu kama ya kubanisha mkojo na choo kikubwa. Hivyo mwanamke mwenye hili tatizo hujikuta anatokwa na mkojo na choo wakati wowote.
      Kuna shimo la mbele la uzazi na shimo la nyuma. Shimo la mbele huitwa - Vesico-Vaginal Fistula (VVF) -shimo hili hutokea katikati ya vagina (uke) na bladder (mfuko wa mkojo).
      Na shimo la nyuma ambalo huitwa - Recto-Vaginal Fistula (RVF) hutokea katikati ya vagina (uke) na utumbo unaohifadhi choo kikubwa.
       

       

      Tuchangie katika kuwasaidia wanawake kupata matibabu ya haraka ya fistula hapa Tanzania kwa kutoa elimu juu ya ugonjwa huu na kuchangia kifedha harambee za kuwalipia wanawake wanaohitaji matibabu katika hospitali zetu....MUDA NDIO HUU......TATIZO ILI NI LETU SOTE.



      Mwanamke anayesumbulia na tatizo la fistula akiwa hospitalini akisubiri matibabu.

      Halle Berry........katumbo kametokeza sasa!


       Mmoja kati ya wanawake warembo wenye umri mkubwa duniani....akionyesha wazi ujauzito wake on red carpet...............

      David Beckham...........father's love to his daughter.



      Harper Beckham shared a sweet kiss with her dad David Beckham, on a sunny father-daughter stroll in London.

      Endless fame on black ball party Mlimani city hall..



                                           Managing director Endless fame Wema Sepetu



      Endless fame team...MD wema sepetu(Right), Petit man (left) and Martin Kadinda(right) at Mlimani city hall...

      How to apply Lipstick on ur wedding.......


      There’s nothing like a little lipstick to brighten your face and add polish to your look. You don’t want it on your teeth, though, and you probably wish it didn’t wear off quite so fast


      These Four Easy Steps

      1. Apply lip balm
      Dot your lip with lip balm to smooth them and reduce crevices. This will help give you an even application of lipstick.
       
      How To: Apply Lipstick Step 2
       
      2. Use a lip liner
       
      Choose a color that matches your lips, not your lipstick. Before drawing a line with the lip pencil, begin by dotting it at various points along the outline of your lips. Then, drawing very lightly, use the liner to connect the dots.
      How To: Apply Lipstick Step 3
       
      3.Apply lipstick
       
      Pick up the lipstick and apply the color, starting at the center of the upper lip and moving outward toward one corner. Bring the lipstick back to the center and run it outward toward the other corner. Repeat with the lower lip. To fill in any missing color, dab the lipstick with your pinky, then dot the color onto your lips with the finger.
      How To: Apply Lipstick Step 4
       
      4. Blot your lips
       
      To blot, which will make lipstick last longer and keep it off your teeth, take a facial tissue and fold it in half. Hold it in two hands, with the fold facing you, then bring it between your lips and press your lips together gently. Release. To make lipstick last even longer, dust a little powder on the tissue before blotting.
      Tip: Avoid deep reds if you have thin lips. They tend to make lips look smaller.


      Happy Birthday Jessica Alba.


      Senin, 29 April 2013

      MICHAEL JORDAN WEDDING.

      Mcheza basketball maarufu dunia Michael Jordan alimuoa mwanamitindo Yvette Prieto jumamosi ya tarehe 27 April 2013 huko Palm Beach Marekani, wanandoa hawa wapya  walianza mahusiano tangu mwaka 2008 na kuwa rasmi wapenzi 2011 ....haya ndio yaliyojiri;


              
                                               Mr and Mrs Jordan wakicheza ukumbini.


                           Mama mzazi wa Michael Jordan Bi.Delories (kulia) akiwa na msimamizi.

                   Patrick Ewing nakidate harusini.....


              
                  Scottie na Larsa pippen wakielekea harusini..




                                     Wageni wakitoka kanisani baada ya harusi kufungwa....

      Men Suits......zinazofaa kuvaliwa harusini.