Kamis, 30 Mei 2013

AMY KIBATALA KITCHEN PARTY -- MOUNT ULUGURU HOTEL MOROGORO



 

                                                    mtoto wa kike akiingia ukumbini ...  watanunaje!!



                                                    Muke ya chacha hiyo...chezea wewe!


                                                   nakshi nakshi za ka ua hapo mbele umeonaa?


                                    mambo ya zouk hayo ...mwendo wa taratiibu!



                                             Hongera mwanangu kuolewa si mchezo eh!


                                                
                                                         Miaka mia ...muke ya Chacha eh!

ABRAHAM MCHARO MSHANA & CLARA MABIKI WEDDING ---- GRANDE HALL


Colors : silver & dark blue.




                                                      Mr & Mrs MSHANA hao..


                                                                    Kwa raha zetu !



                                          Bridemaids & groom men wakiingia ukumbini


 
                                                   Natoa utambulisho wa familia ya mshana



                                             Mke wa mshana akimsikiliza kwa makini


                                                 Mdau Mcndimbo akifungua champagne


                                                             Mambo ya cheers!



                                                                   Tunakata keki  ! 



                                          Kula mke wangu .....wengine watabaki kuwa photocopy tu.



 
                                             Tunasakata rumba kwa kwenda mbele...


                                                              Hongera Clara !


                                              Yani siamini kama leo yametimia










                                   Ukafika ule muda wa madikodiko sasa...walikulajee uwiiiii




Rabu, 29 Mei 2013

TANGAZA NASI SASA...! !



TWENDE HARUSINI BLOG   inakaribisha matangazo ya harusi,sendoff,kitchen party,engagement day, office party, na mengineyo ya kuuza bidhaa mbalimbali, kwa BEI NAFUU SANA.

WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO : 0753 866461
                                                                                  0653 500527


                                                           AU EMAIL :   twendeharusini@gmail.com.


WHAT BORES A MAN IN A MARRIAGE ?


 In the beginning of every marriage everything is fine. With time you feel that something gets wrong and is not as it should be. It is not a secret that most married men after a while lose interest in their partner and their marriage.
When exactly does a man start be bored and not notice the woman next to him, we searched for different guys’ opinions. This is what we concluded:









1. Man loses interest when the woman does not take care of her beauty
Everybody knows that a man loves with the eyes and the woman with the years. To keep the attention of her man a woman should be sexy. Of course the fact that your man chose you for a wife means he adores you. But this adoration comes to an end. So be careful and try to always be in a good shape, first because of yourself and your personal confidence, then for your partner.





 2. Lack of competition
The man is a hunter, he is used to chase his pray and to enjoy it wildly. If your man loses interest in you and the passion goes away this means you need a new tactic. Go out more often with friends without saying when will you come back and don’t call him every half hour to ask what is HE doing. Have fun by yourself from time to time without saying where you are, who you are with and why. Let him be interested in your activities and be a little jealous. A little tension in the relationship is never too much if you want the sparkle.



 3. Uniformity creates boredom
You need new emotions, experiences, journeys. Try to provide them, even if you have no financial opportunity. It is always available to walk to the nearby mountain in your town or at a local park. Enhance sexual life, try new positions, toys and places. If you do not put effort into having fun, no one else will do it.



 4. Jealousy kills love
Excessive jealousy can kill every beautiful love, remember it. You are together now, love yourself and trust one another. It is normal to feel jealous sometimes but only if there is a reason. The mindless, suffocating jealousy is not romantic even though the Hollywood writers try to convince us in it. On the contrary, it can be a reason for the separation of two people…




 5. Lack of personal space
Ensure more personal time. He wants to go out with friends for beers – OK. Let this not be a drama type “He does not want to go out with me anymore”. Everybody needs some time alone with friends, on their favorite place for some beer or wine. He goes out, you go out too. This way you will spice up your day and later the loved one will be much more interesting! Tested!




Selasa, 28 Mei 2013

RIP ALBERT MANGWEA





                                              GONE TO SOON.... WE WILL MISS U .




Rapper wa kitanzania Albert Mangwea amekutwa amekufa kwenye chumba cha hotel huko south africa huku rafiki yake wa karibu P to the M  akiwa amezimia kwa kile kinachosemekana kuwa ni kuover dose katika matumizi ya madawa ya kulevya.



Inasikitisha sana kwakua Rapper huyu alikua na uwezo mkubwa sana kimuziki ila haijulikani ni kwanini aliamua kutumia madawa haya ya kulevya kupita kiasi yaliyopelekea yeye kupoteza maisha.




                                    
                               



                                      Hiyo hapo juu ni video yake ya mikasi ...



Tutakukumbuka sana mangwea ila hii ni changamoto kwa wasanii wengine na vijana kwa ujumla wanaojihusisha na utumiaji wa madawa haya ya kulevya.


                     TUBADILIKE........      CHANGE NI SISI.

WEDDING NEWS !


KIJANA WA MAMA  PATIENCE OZOKWOR MAARUFU KAMA MAMA G (MUIGIZAJI) TOKA NIGERIA  AFUNGA PINGU ZA MAISHA HUKO LONDON UINGEREZA.


                                              Mtoto wa mama G ( kulia ) na mkewe .



                  Mama G wapili toka kushoto na wageni kwenye harusi ya mwanae huko london.

DOES ONLINE RELATIONSHIPS WORK OUT ?




by Andrea Baker

From a larger study of 68 couples who met online, eight couples were chosen as cases representing the sample to illustrate two kinds of outcomes: "successful," continuing couples, or "unsuccessful," relationships that ended. All respondent accounts from questionnaire data, interviews, and e-mail correspondence between partners were closely examined. Four factors emerged which seemed to differentiate among the two types of relationships begun online:

(1) meeting place, where they first encountered each other online;

(2) obstacles, barriers to getting together overcome by the couples, such as distance and previous relationships;
 (3) timing, period spent writing or talking before meeting offline, and how intimate they became before meeting offline;and
(4) conflict resolution, ability of the people to resolve problems in communication. People who first met in places based upon common interests, who communicated for long periods of time before meeting offline without too much intimacy, who worked through barriers to becoming closer, and who negotiated conflict well tended to stay together. Future research and analysis can further determine how the process of forming and maintaining successful relationships begun online compares to those started offline.






Wadau wangu wa Bongo flavour ---- Nay wamitego ft Diamond - Muziki gani {official video}

FAMILY TIME : VICTORIA BECKHAM WITH HER KIDS



Senin, 27 Mei 2013

I LIKE THIS FUNNIEST ENGAGEMENT STORY......




 Bride: Amanda Jarboe       
Groom: Daniel Stanczyk.

The Power Walker Engagement: Typically, the first people to know when you get engaged are those closest to you. Brides-to-be call their mothers immediately to let them know the good news; future grooms phone home to share the good news with their families. When Amanda and I got engaged, the first person to know and congratulate us, was someone we wouldn't suspect. It was Valentine's Day 2012. I had picked up the engagement ring I knew she loved the day before and was nervously hiding it in my pocket. Amanda knew I was popping the question soon, but she never suspected that I'd propose on Valentines day. The plan was perfect. I'd take her on a romantic walk, then ask her to be my wife on our favorite bench in Baker Park. Once I started my speech, I couldn't stop. I was feeling it. I told her that she was my Valentine that day, then--to top the whole speech off--I dropped down to one knee and asked her if she would be my valentine for the rest of my life. Tears welled up in her eyes and we had a great moment....not quite a moment. More like a few seconds. No sooner did she say yes, and then it happened. A woman who was in the middle of a killer power walk around the park stopped by our bench and said "OH MY GOD, did you two just get engaged?!?!?". I said "yes, we did" (in fact I was still down on one knee at this point). The walker slid her headphones off and said "Let me see!", so we showed her the ring. She ooh'ed and ahh'ed at the ring with sweat dripping off her forehead. After offering her congratulations, she said her goodbyes, and power walked out of our lives forever. So, it wasn't my future mother-in-law, my brother, or father who was the first to know that we were engaged. It ended up being a Valentine's day power walker. We wouldn't want to have it any other way.

UNAJUA NAFASI YA WATOTO KATIKA NDOA ??


Kawaida watu wanapozungumzia kuhusu suala la ndoa, kipengele cha watoto huchukua nafasi kubwa na ya muhimu katika mazungumzo ya ndoa na ujengaji wa misingi bora ya familia.



 
Kwanza kabisa unakumbuka kuwa kupata watoto ni moja ya lengo la ufungaji maagano ya ndoa. Mwenyezi Mungu amependa kumkabidhi mwanadamu jukumu hilo la kukiendeleza kizazi cha wanadamu. Ni kutokana na upendo mkuu alionao Mungu, kamuumba mwanadamu ili kumshirikisha upendo huo. Unapopewa jukumu la kuendeleza kizazi cha mwanadamu, nakualika ukumbuke kuwa hilo linatendeka katika tendo la kiupendo mkubwa.
Mwenyezi Mungu kaumba ulimwengu na kapanga utaratibu wa kufuata. Unapokwenda nje ya utaratibu huo unakuwa unavuruga mpango wa kimungu, hivyo unakuwa unatenda dhambi. Watoto wanapatikana kihalali katika tendo la ndoa. Nikisema tendo la ndoa simaanishi mahusiano tu, bali namaanisha tendo lilohalalishwa kisheria za dini/mahakama, ndio sababu linaitwa tendo la ndoa.





Tendo hilo linafanyika kwa upendo hasa sababu pia chanzo chake ni upendo. Kwa hivi mtoto unakuwa ni tokeo, au tunda la upendo kati ya baba na mama. Inapotokea unaendeleza kizazi nje ya ndoa, bado mtoto huyo anakuwa ni tunda la upendo, isipokuwa tendo lenyewe linakuwa halijahalalishwa.  




 Watoto wanakamirisha ule mkusanyiko wa sehemu tatu muhimu ndani ya familia: yaani baba, mama na watoto. Watoto wanaongeza furaha ya familia, wanachangamsha familia. Lakini zaidi hasa watoto wanasaidia wazazi kukomaa kiutu, kiimani na kijamii. Unapoitwa baba au mama, unafahamu wajibu unaobeba wa kulea vema watoto, kuwatafutia mahitaji yao ya msingi na kuishi kwa heshima kadiri ya hadhi ulioyonayo. Kuwa makini zaidi katika kuwatafutia wanao furaha na maisha bora ya baadae.
Kuna vitu ulivyozoea kufanya awali lakini sasa huwezi kuvifanya tena. Hii ni neema Mwenyezi Mungu anakupatia katika kukua kwako siku hadi siku, kuongeza ukarimu, upendo, huruma, na kuifanya dunia kuwa paradiso ndogo kwa ajili ya watoto na kizazi kijacho.





Ikitokea watoto hawapatikani katika ndoa, msikate tamaa, endeleeni kutafuta kwa njia za haki na halali. Na tambueni ya kuwa, ndoa na familia bado inakuwa na hadhi yake na ukamilifu wake wa kuitwa ndoa na familia sababu hata kama watoto hamjapata, moyoni na kwa upendo mkuu mnao watoto kwa tamaa mliyonayo na kwa nia njema.