Selasa, 21 Mei 2013
WILLIAM KOMBA & PENDO KAYOMBO WEDDING ------ RIVER SIDE UBUNGO
Walipendezaje wenyewe...
Mr. & Mrs Komba ........
wakina komba hao wanaingia...swaga za kingoni umezionaa!
Maids nao walipendeza sana
Jisukari ilo....
Kumshukuru Mungu ndio kila kitu katika jambo lolote lile.
MC wa ukweee in town akifanya mambo yake.....very much professional kufungua izo vitu.
Maids kazini.......
Harusi ni watu na watu ndio hao...
mwendo wa kukata keki .....
Kula msweetie wangu we ! olaa wenye wivu wajinyonge babu eh!
MTU CHAKE ! eh
kamati hiyo....hongereni kwa kazi nzuri
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar