Selasa, 28 Mei 2013

RIP ALBERT MANGWEA





                                              GONE TO SOON.... WE WILL MISS U .




Rapper wa kitanzania Albert Mangwea amekutwa amekufa kwenye chumba cha hotel huko south africa huku rafiki yake wa karibu P to the M  akiwa amezimia kwa kile kinachosemekana kuwa ni kuover dose katika matumizi ya madawa ya kulevya.



Inasikitisha sana kwakua Rapper huyu alikua na uwezo mkubwa sana kimuziki ila haijulikani ni kwanini aliamua kutumia madawa haya ya kulevya kupita kiasi yaliyopelekea yeye kupoteza maisha.




                                    
                               



                                      Hiyo hapo juu ni video yake ya mikasi ...



Tutakukumbuka sana mangwea ila hii ni changamoto kwa wasanii wengine na vijana kwa ujumla wanaojihusisha na utumiaji wa madawa haya ya kulevya.


                     TUBADILIKE........      CHANGE NI SISI.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar