Colors : Dark blue & silver.
a kiss from Husband.
Our certificates!
The decorations.....
Table setup.....
Bridesmaids and groom men wakiingia ukumbini
Bibi Harusi akiingia.....
mama akicheza ngoma ya kingoni hapo....
Mc Ndimbo akifanya yake hapo...muda wa champagne.
PUUFFF! hakika sherehe ilinoga!
Kunywa mume wangu we!
hapo mie simo jamani.....
wageni waalikwa hao...
KEKI .....
am SPEECHLESS ! jamani
Tule , tunywe tukamilishe sherehe yetu....
wageni wakijimwaga stejini....
Mc Ndimbo nae hakuwa nyuma....akitoka analogy kuamia Digital....
Asanteni wote mliofanikisha shughuli yetu.
KWAHERINI.....
Tidak ada komentar:
Posting Komentar