Rabu, 22 Mei 2013
WOW! its AMAZING !........CHACHA WANGE & AMMY KIBATALA WEDDING ----- SINZA DELUX HALL
Colors: Orange & Green.
Wow ! mlipendeza sana jamani na idea yenu was very fine hapa.
Hongereni maharusi ur now official Mr. & Mrs WANGE.....
Kwa raha zako mrembo Ammy eh!
Chonde chonde msimwangushe Mke wa Wange eh!
hii style sijui inaitwaje kwakweli ..nitamtafuta bibie Ammy atueleze
wamebambajee .....miaka mia idumu ndoa yenu eh! wapambe HOI.
Mashostito nao walikuwepo eh! kama kawaida kuwakilisha
Bila kukosea style hii itakuwa inaitwa mugongo mugongo!
CHEZEA! Mujini mipango eh!
ka mkwe kangu ako ka baadae eh! .....kamependezaje kenyewe jamani.
Kila mtu na ..........wacha ninyamaze mie! ...mlipendeza sana kwakweli
Hiyo nayo muige ......
kama wanaigiza vile......HAKIKA kamati ilifanya kazi yake.
HOT MAIDS hao.... utalowaaah!
HAPO THATHA!........alaah!
Miaka mia .....warembo mlipendeza jamani
Maids wamechanganya rangi za nguo hapo....mbona tumekomaa!
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar