Kamis, 16 Mei 2013

NINI UPELEKEA NDOA NYINGI CHANGA KUVUNJIKA MAPEMA ??



JE KUNA UKWELI KUWA NI KWA SABABU WANANDOA WENGI UPENDA KUINGIA KWENYE NDOA NA UHURU WA ASILIMIA 100% ?






JE KUNA UKWELI KUWA WENGI HAWAELEWI NINI MAANA YA NDOA?






AU NI KUTOKANA NA MALEZI MABOVU WALIYOPATA TOKA KWA WAZAZI WAO?





NA JE KUSHINDWA KUTAFUTA SULUHISHO LA MATATIZO YAO NA KUPELEKEA KUONGEZA ZAIDI MATATIZO NI CHANZO ?



Tidak ada komentar:

Posting Komentar