Kamis, 09 Mei 2013

The lady herself... here comes Nancy Sumari Tanzanian model


Hapa yuko na mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush....anayekwenda kwa jina la Barbara Bush.






Mwanamitindo Huyu maarufu yuko Juu sana kwa kazi na pia kifikra, Hapa yuko na aliyewai kuwa Rais wa Mozambique Joaquim Chissano na kiongozi wa Young Global Leader hapa TZ, Susan Mashibe .




Tidak ada komentar:

Posting Komentar