Senin, 13 Mei 2013
DANIEL CHUMU AND JACQUELINE MAFURU WEDDING --- SEA CLIFF HOTEL
Colors : Orange.
Hatuamini kama yametimia leo!
i love u my better half....for better for worse !
Groom men na bridemaids wakiingia ukumbikini hao...
The cake was so nice.....nahakika ilikua tamu saana
Nawakaribisha rasmi wazazi wangu kwenye boma yangu!
The champagne ......tunywe tule.....
Karibuni jamani....
wageni waalikwa wakijipatia mlo wao......
swagga is ON ......rafiki wakishow love!
Pamoja forever........
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar