Kamis, 23 Mei 2013

JE UNATAMBUA NAFASI YA WEWE KAMA MWANAMKE KATIKA NDOA ?


HAYA HAPA MACHACHE TOKA KWA AshaDII....

YEYE AMEANZA KUELEZEA KUHUSIANA NA MAENEO MUHIMU KTK NDOA.


"MUME"

 Mtihani woote uko hapa… Kuishi na hawa baba/kaka zetu yahitaji nguvu ya ziada… Hio nguvu hua at Minimal kama kweli wampenda – ikiwa otherwise believe me you ni mtihani…. Mie naamini kua kama Mke; Mumeo lazima humjali kwa yale yalo ya msingi kama hasa yale home based personal needs… Ukijumuisha emotional, psychological na Sex pia. Niseme tu muhimu kuliko yooote kwa mumeo kuliko hata kupenda ni kumsoma na kumuelewa; Hio itakusaidia kujua akichukia, akichoka, akiongopa, akikwazika, akiwa na dalili ya kusema he is about to get sick, akifurahi na akiridhika katika kila aspect iwe chakula, Sex, tendo ulofanya or whatever…. Na ukifaulu hapo furaha ndani ya nyumba ina high probability… 



 "NYUMBANI"

No matter mna hali gani ama mpo level gani ya Maisha, nyumbani kwako ni sehem muhimu saana kupaweka mazingira ambayo yanaita. Hapo nina maana ya Usafi na mpangilio wako (yaani kua organized)… Usafi na good organization ya vitu husaidia saana kuficha hata kama mnahali mbaya hasa kifedha… Make nyumbani the most comfortable place to be kwako mwenyewe na hata mumeo na familia yako. Yaani akiwa kachoka, kakwazika, kafurahi iwe ni a condusive place to be…. 







 "BUDJET"

Ni moja ya sehemu ya muhimu saana katika ndoa…. Mara nyingi basis ya ugomvi mwingi ndani ya ndoa moja ya chanzo ni kutokuwepo kwa pesa ya kutosha Ama the Misuse of it…. Mwanamke mwerevu  ni lazima awe mjanja na awe bega kwa bega a mumewe hasa on the use of Money na mipango ya maendeleo ya hapo badae…. Wanawake wengi saana twaponzwa saana na tamaa (hasa vitu vya mwilini) – na hata ile tabia ya kununua kitu hata uhitaji sababu tu eti umekuta kipo cheap… Hio upelekea kujaa ndani kwa vitu ambavo hata havina umuhimu wowote…. Jitahidi kua na vitu ambavo kweli vyahitajika…. Take note: Sisemi uwe bahiri..




"NDUGU NA JAMAA"

Ule msemo wa kusema kua ni wewe na Mumeo tu wengine hawana umuhimu as much as mwapendana….. Haupo safe in the Long run.. Kuishi vizuri na ndugu na jamaa (hivo uvumilivu wa madhaifu yao hata yakivuka mpaka ni muhimu) Mtu ambae huishi nae anakuboa kila mara, ni rahisi kumvumilia. Na hata hivo zingatia kua sio ndugu woote wa Mwenza wako wana hila, saa ingine Mke ndo huanzisha na kusababisha hizo hila… Wakija wageni wake unavimba… Unataka wa upande wako tu, Usithubutu dear…. Kuna ile pia ya ngugu wa mumeo (i.e dadake, Mamake) kutaka shindana saana kuchukua attention ya mumeo, to hell with it – utapoingia tu katika hio competition anae umia zaidi ni mumeo na wala sio hao mnaokomeshana…. Zingatia pia kama mama wa Mumeo yupo bado; usijiandae vita but radher conquer her with Love… kama wewe waelewana na Mamamkwe kwisha kazi wanandugu wengine watakua wanampigia mbuzi guiter…







 "UPENDO/MAPENZI NDANI YA NDOA"

Mapenzi ndani ya ndoa hayapo consistent kila siku, hua yanabadilika na sometimes hadi almost hata mchukiane (God Forbid) but you have to be ready – maana walo ndani ya ndoa wanaelewa fika kuna stages Mapenzi yaweza kufa kabisa (Rut stage) BUT baadae yakarudi ajabu… Mpaka nyie wenyewe wahusika mkashanga…. Hivo sio umefika hio stage, tayari upo tayari kuachia ngazi, Kua mstahimilivu, kua mvumilivu, kua mwerevu na jitahidi saana kua mke mwenye busara na asokurupuka…. Na hio yawezekana tu kwa kumhusisha Mungu katika ndoa yako…. HOWEVER Zingatia, mumeo anakupenda, anakujali, anajali familia na yupo responsible kwa kila kitu (as in a good hubby & Father) I tell you Mng’ang’anie; labda kama una hakika there is no hope na hawezi kupenda pia…
My Motto “My Man remains to be my MAN!!!!” Kama ni mume wangu, tena wa Ndoa…. siwezi mwachia eti tu sababu my fellow woman kanizidi kete! Nitamuachia for only for concrete reasons…. Hanithamini na wala hanipendi (for hivi vitu hufanya a man asiwe resiponsible wala asijali welfare yako) Hapo let him GO – For he is not worth it








 "UGOMVI NDANI YA NYUMBA"

Usije jisahau ukajiona you are so special na kwamba wee tu ndo mwangombana na mumeo (incase ikatokea); Usipende saana kuhusisha mambo ya ugomvi wako na watu wengine – unless otherwise issue ni kubwa saana. BUT hata hivo inabidi unakua makini ni nani umhusishe… Yahitaji sana mtu mwenye busara, hekima na nia njema juu yako kuweza kusaidia kweli matatizo yaliyopo ndani ya ndoa yako. Na ule mtindo wa kusimulia saa ingine wajichora na kumfanya mtu ambae unamsimulia afurahi katika roho yako – na pia wewe mwenyewe unakua unajenga upenyo wa kuletewa mambo ambayo yaweza athiri ndoa yako.






 "MARAFIKI/MASHOGA"

Cheusie beware of Marafiki dear hasa mashoga (tena shoga zako ambao hawajaolewa ndo sumu kabisa for believe me you – your interests zimeshatofautiana; In rare cases wapo ambao hawajaolewa but wana heshima zao, Tread carefully with this group (shoga)…. Cross the line wapi wapite, Shoga anakua shogaa mpaka mwazoeana aje nyumbani hadi chumbani kwako na mumeo…. Aingie apike jikoni hicho chakula aandaliwe na mumeo (na hali huna lolote la kukuzuia wewe mwenyewe kufanya)….. Shoga ajue siri zako zoote za wewe na mumeo hadi zile intimate as in what makes him tick…. Shoga wa kuja kila week nyumbani kwako…. Shoga wa kumuachia wana hug, tia story (bila uwepo wako) na mumeo, peana lift za ovyo ovyo (in the name ya usasa or whatever) HAKUFAI Period!! Hawa in most cases ndo hugeuka the next wife to your hubby, na ndo wasaliti wakubwa ambao hata akimkamata mumeo aweza shindwa furukuta for tayari ajua the inns na outs zoote za huyo mwanaume…..



 "SEX"

Dear yalo ya msingi katika 6/6 nakutembelea PM hasa ni jinsi gani ujiweke sawa na katika hali nzuri sehemu husika - daima, Siwezi anika hapa… Sielewi upo vipi… But kwa mwanamke yeyote yule if you LOVE sex…. Then hii sector is so simple for you. Ni lazima uwe mtundu (take note sio mtukutu mpaka utake kutoa back door), ni lazima upende the act na ni lazima u-play part yako… Msome nini anapenda, na ni namna gani anareact ukifanya kitu gani…. Msome akichoka ama ana energy ya kutosha ni namna gani ipo more comfortable na relaxing kwake; Learn about Sex and the art of it…. Epuka porn movies, zile ni kwa ajili ya biashara na upuuzi mwingi wa mle ni for sale… You want porn inayo faa wanandoa tafuta Kamasutra (Drawn from the Indians)… Kama kuna kitu chakusumbua hapa, you just PM me and I will try my best na kama nimekwama kuna al-maarufu Faiza Foxy……






 "CHAKULA"
 
Chakula pia kinaweza haribu mahusiano hasa kati ya wenza/wapenzi… Hii hutokea saana pale mdada/mmama mapishi nyumbani kwake yamemshinda kabisaa… In short hajui kupika… wakaka/baba wengine hawana makuu na huvumilia na kuona sawa tu… (ni wachache by the way…) BUT Issue ni kwa wale ambao kalelewa katika familia ambayo they are Great Cooks… yaani kazoea chakula kizuri na kitamu pia… yaani hata kama kala tu Ugali na dagaa… huo ugali ni ugali umesongwa hasa!… na hizo dagaa mazagazaga yoote from kitunguu saumu, nazi, nyanya/hoho/carrot/vitunguu, curry powder to perfection. (Huyu akipata nyumba ndogo anajua wajibu wake katika sector ya chakula usishangae ukitangaziwa mke mdogo….)salads. Of course bila kusahau Matunda na Home made fresh Juice – for vitu kama soda, wine, beer not recommended kuenda sambamba na food… 





 "YOU"

Cheusie dearest… Jitambue, Jipende na be happy… Na you can not be happy hata kama una kila kitu plus huyo mume if you do not appreciate yourself, if you do not know what you want, if you do not know kuandaa Mazingira ya furaha ndani ya nyumba yako na wale walo kuzunguka, na if pia you are not appreciative of the little you have. Nenda mpenzi, mpe haki Mumeo na Mpende pia but isivuke mpaka ukaona ndo Mungu wako… Narudia Muelewe his ins and outs… Narudia pia mhudumie responsively, akivuka mpaka draw your claws out na show kua you are capable as long as ni once in a while… Ukiwa na tabia ya kununa, kuchukia, kulalama hata kwa vitu vidogo – atazoea hio hali kiasi kwamba atakua anaku ignore mpaka yaweza kudrive to madness… Yalo mengi katika ndoa sio mapya… yatakiwa tu uwe makini… Na kumbuka the way you want to be treated by your hubby starts now. You want to be kissed kila akiingia (demand hilo sasa); Unataka once in a while awepo nawe jikoni (demand hilo sasa)… Ili mradi usiwe too demanding katika matakwa yako mpaka ikawa kero kwa mwenzio…. BEST OF LUCK!!







Tidak ada komentar:

Posting Komentar