Vyote VVF na RVF husababishwa pale mwanamke anapochukuwa muda mrefu kujifungua kutokana na uke kuto funguka haraka na mtoto kupita. Hivyo mama hulazimika kumsukuma mtoto aliyegoma kutoka na hivyo kunasa katikati ya uke kichwa kidogo nje lakini zaidi mwili wote wa mtoto unakuwa umebaki ndani ya tumbo bado. Hii process inapotokea hivi mara nyingi mtoto hukosa circulation ya damu kichwani na hivyo kufa kabla hajazaliwa.
Hata hivyo, situation inapokuwa hivi mara nyingi mama na mtoto wanaweza kuokolewa kwa njia ya upasuaji (c-section). Ile constant pressure inayokuwa applied kwenye pelvic bone ndo inayosababisha kuachwa kwa shimo baada ya mtoto kutolewa tumboni. Hivyo zile tissue zilizo zunguka uke zinakosa blood supply na hivyo kufanguvu nakusabisha mishipa inayoshikilia mfuko wa mkojo na kinyesi kulegea na kushindwa kubana uchafu ndani (mkojo ama kinyesi) na hivyo kufanya vitoke tuu vyenyewe vyenyewe bila mpangilio.
HILI TATIZO HUTOKANA NA;
- Mama mjamzito kuwa mdogo sana kutokana na lishe duni (kudumaa)
- kuto kupata elimu juu ya uzazi na huduma bora za afya na juu ya kujifungua
- kuto kuwa na madocta wakutosha na wenye uwezo wa kumshughulikia mzazi aliyekubwa na tatizo hili haraka iwezekanavyo
- kutokuwa na vifaa vya maana mahospitalini
- huduma na vituo vya afya kuwa mbali sana
- wenye kutoa huduma za afya haswa kwa akina mama kutokuwa na experience ya kutosha katika fani ya afya
- kujifungulia nyumbani bila kuwa na muhudumu anayeelewa kazi za kiafya kama za wanawake na jinsi ya kumzalisha mtu
- kuzaa katika umri mdogo sana
NINI MATOKEO YA SHIMO LA UZAZI?
- Of course mtoto ndo hivyo hufariki
- mama hubakia kuvuja uchafu kupitia uke
- mama huweza kushindwa kutembea kabisa kutokana na damage iliyofanyika ukeni
- mara nyingi mambo yakishatokea hivi basi wanawake wengi huachika na jamii huwatenga
Tidak ada komentar:
Posting Komentar