Senin, 24 Juni 2013
JIKONI LEO :: MAMY KIDAWA --- KWALALUMPA SOCIAL HALL
BRIDE :: MAMY KIDAWA
VENUE:: KWALALUMPA
DRESS CODE::B2A
MC:: JOJOO
COLOR:: YELLOW,PURPLE & GREEN.
Mtoto wa kike alirembwa akarembeka
Mwanamke jicho eh! - ulipendeza sana Bi kidawa
CHAMPAGNE TIME
KEKI / CAKE
Nyota Waziri - mamaa wa Gere ndiye somo wa bi harusi eh!
Shangazi wa Bi Harusi
Mama mlezi wa Bi Harusi
akiwakilisha marafiki wa Bi harusi mtandaoni (fb)
Wanakamati walipokabidhiwa keki yao na Bi Harusi
Mambo yalianza kunoga hapaaa! geree mama, geree maaama wananionea gere
watausaga mpunga waubwie wenyewe ! (Nyota waziri)
warumba cheee! warumba enyaaa!
mwanamke nyonga eeh! makalio matatizo binafsi hayo!
ZAWADI
MASOMO WA BI KIDAWA WAKIINGIA NA MBWEMBWE HAPO
Mamaa wa gere akaingia kutupa burudani !
RED CARPET ndani ya Kidawa's kitchen party ITAWAJIA SOON!
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar