Jumat, 05 Juli 2013
BEAUTIFUL SENDOFF PARTY AT DELUX HALL SINZA - ROSE SHOO
BRIDE :: ROSE SHOO
VENUE :: DELUX HALL
DRESS CODE :: B2A
MC :: KIM
COLOR :: ORANGE,BLUE & SILVER.
Bibie Rose akiwa na Tabasamu lenye nguvu kabisa hapo.
Bridesmaids wake wakiingia kwa mbwembwe
chezeaaa !
Bibie Rose akiingia Ukumbini
Mwanamke mkia wa Tausi eeh!
Hakika walipendeza sana sana
UKAFIKA MUDA WA CHAMPAGNE
Bi Rose akaletewa champagne atie baraka
Wakweze Rose hao
Wazazi wa Rose hao
UKAFIKA MUDA WA KISUKARI .......KEKI
JIKEKI lilipambwa haswaa na hakika lilikua Tamuuuu !
Mama mnipokee mwanenu
WACHAGA TENA ....HAPA PANAHUSIKA SAAANA !
wanaiita NDAFU maarufu sana kule UCHAGANI
Asante sana mama kwa kunilea
BI ROSE AKATUTAMBULISHA MUMEWE MTARAJIWA!
wakapeana na Zawadi kama ishara ya upendo
BURUDANI IKAPAMBA MOTO
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar