TOA MAONI YAKO KUHUSU NAMBA YA WAGENI/WATU NDANI YA UKUMBI HUKO HARUSINI .
YAFUATAYO NI MASWALI MACHACHE YAKUJIULIZA .Je unadhani kuna umuhimu wa namba ya watu/wageni kuwa kubwa ama ndogo ??
Na Je ni sawa kwenda ukumbini kwenye harusi kwakua umetoa mchango ama ni vizuri uende kushehereka ? Toa maoni yako kwa comment ili wadau mbalimbali nao waweze kujua ukweli wa namba ya wageni waalikwa kwani imekua ni tatizo katika harusi nyingi sana.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar