Kamis, 18 Juli 2013

JE KUNA MBADALA WA PETE YA UCHUMBA ?



Habari Wadau wetu wa Twende Harusini Blog !

 Mada kuu leo.

 mara nyingi wasichana huwa tunavikwa pete siku ya engagement day!! sasa endapo hitatakiwa mvulana/mchumba umzawadie  msichana kitu tofauti na pete, Je  utampa msichana/mchumba huyo nini ?? na hendapo msichana naye atatakiwa  ampe mvulana zawadi baada ya kuvishwa pete  atatakiwa ampe zawadi gani mchumba wake huyo?!

KARIBUNI SANA TUCHANGIE MAONI.



HAPO CHINI NI AINA MBALIMBALI ZA PETE ZA UCHUMBA.









Tidak ada komentar:

Posting Komentar