STEVEN MOFULU ENGAGEMENT DAY
Nampa Hongera STEVEN kwa kumvalisha PETE ya uchumba mpenzi wake, TWENDE HARUSINI BLOG inawatakia maandalizi mema ya harusi yenu . Ni Maamuzi tu uhitajika katika kuonyesha upendo ulionao kwa yule umpendaye,pia ni jambo la kupendeza sana wazazi wakishuhudia tukio muhimu kama hili. Pete iliyohusika kufanya siku hiyo kuwa muhimu kwao.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar